Haiba ni muonekano wa mtu kitabia , mavazi na matendo yote ya kiroho hata kimwili
Ni hali ya ndani ya uthamani anaokuwa nao mtu kwake na kwa mwingine au ujali wa kuanglia rika kujenga uthamani na hii mtu huzaliwa nayo tunaweza kusems ni asili ila jamii wanaijenga au wazazi wanaijenga ili ushirikiano uwepo
NGONJERA ni shairi ambalo huhusisha waimbaji zaidi ya mmoja. uimbaji wao huwa katika mfumo wa majibizano.
Shairi la kimapokeo ni aina ya mashairi ambayo hukusanya na kusimulia maarifa na utamaduni wa jamii au kabila fulani. Huwa na maneno ya kimapokeo na hutumiwa kama njia ya kuelimisha na kudumisha tamaduni za jamii husika.
Unominishaji ni mchakato wa kuchukua maneno ya kawaida au misemo ya kila siku na kuyafanya yawe na maana nyingine au ya kufurahisha. Hii inaweza kufanyika kupitia mchanganyiko wa maneno, kubadilisha maana ya maneno au kutumia lugha ya picha. Unominishaji ni njia ya ubunifu ya kujenga uchangamano na kuchekesha katika lugha.
Utani katika jamii za kiafrika ni zaidi ya mzaha. Kama anavyosimulia mwandishi Tigiti Sengo katika kitabu Utani Jamii Ukwere,mzaha ulitumika kana mbinu ya kuwapatanisha wanyonge na wenye nguvu kwa kuandaa mbinu ya mawasiliano .
Ecuador is the country that is often considered to be in the middle of the world because it is located on the equator. There is a famous monument called Mitad del Mundo (Middle of the World) located just outside of Quito, Ecuador.
you type in ya ya ya
The song is "Go!" by Tones on Tail.
ya ya ya ya ya ya very ya
The song that goes 'ys ya ya ya ya and in the background ya ya ya ya then ye ye ye ye and in the background ye ye ye ye' is Chris Webby's Trouble.
Ya Ya was created in 1961.